Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Pilato alipoona jitihada zake hazifaulu, na badala yake ghasia zilikuwa zikitokea, akachukua maji akanawa mikono mbele ya umati, akisema: “Mimi sina hatia ya damu ya mtu huyu. Shauri yenu.”

  • Luka 23:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Ndipo Pilato akawaambia wakuu wa makuhani na ule umati: “Sioni mtu huyu akiwa na kosa lolote.”+

  • Yohana 15:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Lakini hilo lilifanyika ili kutimiza neno lililoandikwa katika Sheria yao: ‘Walinichukia bila sababu.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki