Ukurasa wa Pili
Kufuatia Fedha Kutaishia Wapi? 3-11
Fedha hutafutwa kwa njia nyingi. Wengine huchagua kutumia uhalifu ili wazipate. Wengine hucheza kamari. Wengine huuza na kununua hisa kwa tazamio la kupata faida. Wengine huzitafuta kupitia michezo. Wengi hufanya kazi ili wapate mshahara. Wengine hujikuta mwishowe wakiwa na mamilioni ya fedha; wengine hujikuta mwishowe katika umaskini. Je! kuna njia nzuri zaidi?
Naweza Kuepukaje Kuchezea Ukosefu wa Adili? 16
Ni rahisi sana kupeperuka na kuingilia shauku za kindani zilizowekwa akiba kwa wenzi waliooana.
Kutoka Kuwa Hipi Mwomba-Lifti Hadi Kuwa Mishonari wa Amerika Kusini 19
Safari ndefu yenye mwisho wa kufurahisha.