Ukurasa wa Pili
1945-1995 Tumejifunza Nini? 3-14
Miaka 50 imepita tangu mwisho wa Vita ya Ulimwengu 2. Ni katika njia zipi jamii ya kibinadamu imefanya maendeleo? Ni vipi baadhi ya vizuizi vya maendeleo? Tuna tumaini gani la kuwa na serikali kamilifu?
Tatizo la Hubble—Lilitokeaje? 15
Darubiniupeo ya Hubble ilikuwa mtamausho mkubwa. Sasa ni mafanikio makubwa—ni nini kilitokeza hiyo tofauti?
Ramani za Kutimiza Mahitaji Yako 22
Tungeweza kusafirije bila ramani? Lakini je, unajua jinsi ya kutumia ramani kwa kufaa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Cover: USAF photo
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kurasa 2 na 3: Churchill, Roosevelt na Stalin kwenye Yalta: UPI/Bettmann; Gari: Index Stock Photography; Mwanamke: Index Stock Photography; Darubiniupeo ya anga: Picha ya NASA; Mwanamume kwenye simu: Index Stock Photography; Nyuma: Picha ya U.S. Army
Jalada: Picha ya USAF