Ukurasa wa Pili
Sayari Yetu Iliyotishwa—Je, Yaweza Kuokolewa? 3-14
Sayari yetu inasongwa pumzi na uchafuzi, inafyekwa misitu, na kuchoshwa mno kwa kutumiwa vibaya. Je, sayari yetu iliyotishwa ina wakati ujao?
Kanisa Othodoksi la Kigiriki—Dini Iliyogawanyika 15
“Kanisa la Ugiriki lagawanyika,” akasema profesa mmoja Mgiriki wa chuo kikuu. Visababishi ni nini? Na matokeo?
Uwanja wa Ndege wa “Kanku”—Huonekana Lakini Hausikiki 24
Ni kweli—uwanja wa ndege unaoweza kutumika usiku na mchana bila kuwa tatizo!
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kutoka kitabu The Pictorial History of the World
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Mtoto katika pipa: Picha: Casas, Godo-Foto