Ukurasa wa Pili
Sayansi Yaweza Kutumainiwa Kadiri Gani? 3-12
Sayansi Imekuwa Kani Ya Maendeleo Katika Nyanja Nyingi. Lakini, Je, Wanasayansi Wanapasa Kuonwa Kuwa Watu Wasioweza Kukosea? Kuwa Na Shaka Kidogo Kwaweza Kukusaidia Uwe Na Usawaziko, Kama vile Makala Hizi Zinavyoonyesha.
Ni Nini Kilichowapata Wale Waapache? 13
Masimulizi ya kweli kuhusu watu hao wenye kutokeza ni yapi? Wanaendeleaje leo?
Wakristo na Mfumo wa Tabaka 22
Mfumo huo wa tabaka ulianzaje? Kwa nini ulienea ukaingia katika dini za Jumuiya ya Wakristo? Wakristo wa kweli wapaswa kuyaonaje matabaka?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kwa hisani ya Arizona Historical Society/Tucson, AHS#78167
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kutuma chombo angani kwenye jalada: Picha ya NASA