Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp1 kur. 4-5
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
  • Vichwa vidogo
  • SEHEMU YA 1
  • SEHEMU YA 2
  • SEHEMU YA 3
  • SEHEMU YA 4
  • SEHEMU YA 5
  • SEHEMU YA 6
  • SEHEMU YA 7
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
yp1 kur. 4-5

Yaliyomo

SEHEMU YA 1

FAMILIA

7 1 Ninaweza Kuzungumza Jinsi Gani na Wazazi Wangu?

14 2 Kwa Nini Sikuzote Tunabishana?

21 3 Ninaweza Kupata Uhuru Zaidi Jinsi Gani?

28 4 Kwa Nini Baba na Mama Waliachana?

34 5 Nifanye Nini Mzazi Wangu Akifunga Ndoa Upya?

40 6 Nifanye Nini Ili Nielewane na Ndugu na Dada Zangu?

49 7 Niko Tayari Kuondoka Nyumbani?

SEHEMU YA 2

MAMBO YANAYOKUHUSU

57 8 Ninaweza Kupata Marafiki Wazuri Jinsi Gani?

64 9 Ninaweza Kupinga Vishawishi Jinsi Gani?

71 10 Kwa Nini Nitunze Afya Yangu?

77 11 Nivae Nini?

85 12 Nifanye Nini Ili Nijiamini Zaidi?

91 13 Nina Huzuni Nyakati Zote—Nifanye Nini?

98 14 Afadhali Nijiue

105 15 Kuna Ubaya wa Kutaka Faragha?

111 16 Ni Kawaida Kuhuzunika Ninavyohuzunika?

SEHEMU YA 3

NDANI NA NJE YA DARASA

121 17 Kwa Nini Ninaogopa Kuhubiri Shuleni?

128 18 Ninaweza Kukabiliana Jinsi Gani na Mikazo Shuleni?

134 19 Niache Shule?

142 20 Ninaweza Kufanya Nini Ili Nielewane na Mwalimu Wangu?

150 21 Ninaweza Kutumia Jinsi Gani Wakati Wangu Vizuri?

156 22 Nimekwama Katikati ya Tamaduni Tofauti—Nifanyeje?

SEHEMU YA 4

NGONO, MAADILI, NA UPENDO

165 23 Ninaweza Kuelezaje Maoni ya Biblia Kuhusu Ugoni-Jinsia-Moja?

172 24 Je, Ngono Itafanya Urafiki Wetu Uwe Mzuri Zaidi?

178 25 Ninaweza Kushinda Jinsi Gani Mazoea ya Kupiga Punyeto?

183 26 Namna Gani Kufanya Ngono Bila Kuwajibika?

188 27 Kwa Nini Wavulana Hawanipendi?

195 28 Kwa Nini Wasichana Hawanipendi?

203 29 Nitajua Jinsi Gani Kama Ni Upendo Halisi?

212 30 Kweli Tuko Tayari Kufunga Ndoa?

221 31 Nifanye Nini Urafiki Ukivunjika?

228 32 Ninawezaje Kujilinda na Washambuliaji wa Kingono?

SEHEMU YA 5

MAZOEA YENYE MADHARA

237 33 Nahitaji Kujua Nini Kuhusu Uvutaji wa Sigara?

246 34 Ubaya wa Kunywa Kupindukia Ni Nini?

252 35 Naweza Kuacha Jinsi Gani Kutumia Dawa za Kulevya?

SEHEMU YA 6

STAREHE

259 36 Ninatumia Vifaa vya Elektroniki Kupita Kiasi?

265 37 Kwa Nini Wazazi Wangu Hawaniachi Nijifurahishe?

SEHEMU YA 7

IBADA

273 38 Ninaweza Kufanya Nini Ili Nifurahie Kumwabudu Mungu?

282 39 Ninaweza Kufikia Miradi Yangu Jinsi Gani?

289 Nyongeza: Maswali Ambayo Wazazi Huuliza

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki