CHATI
(Ona pia Ramani)
(Kuna vichwa vidogo: Afya na Magonjwa; Biblia; Dini; Mashahidi wa Yehova; Tarehe za Matukio [Kronolojia])
baadhi ya hatua za kufanya uamuzi: w11 4/15 16
elimu ya kemia:
chati ya elementi: g00 10/8 6-7; ct 26-27
familia:
idadi ya ndoa na talaka kila mwaka: w98 4/1 5
jinsi ya kuwasaidia watoto wasitawi: g97 8/8 9
kucheza na mtoto mchanga: g04 10/22 7
kufaulu kujifunza: g04 8/8 7
madokezo kuhusu kuwasomea watoto: g04 10/22 10
ratiba ya kusafisha nyumba: g05 6/8 20-21
hasira:
dhibiti hasira yako: yp2 221
huzuni:
mambo ya kufanya: we 18
ili kupunguza huzuni yako: yp1 93
je, ni upendo halisi au ni upendo wa kupumbazika?: yp1 211
jinsi kahawa ilivyoenea: g 3/06 18-19
jinsi unavyoweza kuepuka kuwa jirani mwenye kelele: g97 11/8 6
jinsi ya kukabili shinikizo la marafiki: yp2 132-133
jinsi ya kutambua dyslexia (tatizo la kusoma) katika watoto: g96 8/8 14
kazi:
kubuni kazi nje ya nyumbani: g96 3/8 11
kubuni kazi nyumbani: g96 3/8 11
kujiua: g00 2/22 3, 6
kumzoeza mbwa: g04 9/8 24
mafanikio: w07 1/1 6
mafuta yasiyosafishwa:
kutafuta, kuchimba, kusafirisha, na kusafisha: g03 11/8 8
maeneo yenye mafuta mengi: g03 11/8 7
mafuta ya zeituni:
unachopaswa kujua: g 4/08 19
magari:
chati ya utunzaji wa tairi (magurudumu): g04 6/8 21
vitu unavyopaswa kuweka katika gari lako: g04 1/8 19
majiji kwenye miinuko na milima mirefu: g04 3/8 12-13
mapendekezo kwa wasafiri wa nchi za kigeni: g05 8/22 6
marafiki:
hatua sita za kuwa na urafiki wa kudumu: w00 12/1 22
matetemeko ya ardhi: g02 3/22 5
mshauri mzuri: w97 3/1 26
muda ambao wanadamu wanatarajiwa kuishi:
watu wanaojua kusoma na kuandika katika nchi tajiri na nchi maskini: g05 11/8 5
ndoa:
je, anaweza kuwa mke mzuri?: yp2 40; g 5/07 20
je, anaweza kuwa mume mzuri?: yp2 39; g 5/07 19
mambo yanayoweza kufanya ndoa iwe yenye furaha: g 7/06 9
ni nini kilicho muhimu zaidi kwako?: kp 9-10
njia za kuboresha kujifunza: g04 8/8 8-9
orodha ya matayarisho ya arusi: g02 2/8 7
pesa:
bajeti (pesa) yangu ya kila mwezi: yp2 163
daftari ya jumla ya mali: g98 12/8 25
kuishi kupatana na mapato: g 6/07 7
kupanga matumizi ya pesa ya familia: g 7/10 8; g96 12/22 9
pesa zinakutawala ikiwa . . .: g 3/09 4
tarehe zinazohusiana na vituo vya angani: g99 8/22 17
ubaguzi:
je, nina ubaguzi?: g04 9/8 11
mwenendo unaoonyesha kwamba mtu ana ubaguzi: g04 9/8 5
uchafuzi:
kupambana na (kuzuia) uchafuzi: g96 6/8 9
Umoja wa Mataifa:
Azimio la UM la Haki za Mtoto: g00 12/8 5
upweke:
unachoweza kufanya: g04 6/8 7
urefu wa maisha: g 5/06 2-3
uwezekano wa msiba kutokea (visababishi vyalinganishwa): g02 12/8 8
vidokezo vya likizo: g96 6/22 10
vikumbusho kuhusu likizo: g98 6/22 17
vileo (pombe):
je, pombe inanitawala?: w10 1/1 8
kufanya maamuzi ya hekima kuhusu pombe: w10 1/1 9
viumbe wanavyoainishwa: g 9/06 14
wafalme wa Uajemi kuanzia mwaka wa 537 mpaka 467 K.W.K.: w06 1/15 18
wanaweza kuwa wakubwa kadiri gani? (wanyama wakubwa wa baharini): g 12/09 17
Afya na Magonjwa
dalili za kushuka moyo sana: g04 1/8 5
dalili za magonjwa ya akili: g04 9/8 21
dalili za mfadhaiko unaosababishwa na tukio lenye kutisha: g01 8/22 6
dalili za ugonjwa wa Lyme: g96 6/22 14
jinsi ya kujikinga (kuepuka kupigwa na jua kupita kiasi): g 6/09 11
jinsi ya kupunguza mfadhaiko: g05 2/8 10
kadiri ambavyo UKIMWI umeenea: g01 2/22 15
kalsiamu katika vyakula vya kawaida: g97 6/8 17
kipimo cha unene (BMI): g05 8/22 30; g04 11/8 5
linda ngozi yako!: g99 7/8 23
madini ya chuma katika vyakula vya kawaida: g 9/10 28
madokezo ya kiafya kwa watu wanaozeeka: g99 7/22 8
magonjwa ambayo yamehusianishwa na mfadhaiko: g98 3/22 5
mapendekezo kuhusu kunywa maji mengi zaidi: g03 6/8 12
mapendekezo kuhusu kupunguza uzito: g04 11/8 8
mapendekezo kuhusu kutembea: g04 2/22 27
mapendekezo kuhusu mazoea mazuri ya kula: g04 11/8 7
mapendekezo ya jinsi ya kuwa na mtazamo wa kutarajia mema: g 9/07 26
maradhi mapya ya kuambukiza tangu 1976: g97 11/22 7
mashauri kwa wagonjwa na watunzaji wao: w97 9/1 6
mfumo wa mishipa ya damu ya moyo: g01 3/22 24-25
miongozo ya kutumia dawa vizuri: g 5/09 6
miongozo ya uzito ya 1995 kwa wanaume na wanawake: g97 6/22 6
mshtuko wa moyo:
dalili: g96 12/8 6
hatua za kuchukuliwa ili kuokoa uhai: g96 12/8 7
mwongozo wa chakula: g97 6/22 12
osteoporosis (ugonjwa wa mifupa): g97 6/8 17
tezi ya kibofu:
dalili za ugonjwa wa tezi ya kibofu (benign prostatic hyperplasia): g00 12/8 21
maswali ya kumuuliza daktari kabla ya upasuaji: g00 12/8 22
ugonjwa wa moyo: g99 7/8 11
utumizi wenye busara wa dawa: g96 9/22 13
visehemu vya damu:
uamuzi wako binafsi: km 11/06 5
watoto wanene kupita kiasi:
wazazi wanaweza kufanya nini?: g 3/09 28
Biblia
chati ya enzi: jv 161-162
hati za Biblia zilipoandikwa: g 2/08 20-21
hekaya kuhusu Gharika: w02 3/1 4
Israeli (la kale):
wafalme na manabii: w05 8/1 12
kazi ya kutafsiri Biblia:
ukuzi katika kutafsiriwa kwa Biblia: w97 10/15 12
kusoma Neno la Mungu: miradi na njia za kujifunza: w11 5/15 5
maeneo ambako Biblia iliandikwa: gl 5
mambo ya kukumbuka kuhusu Sabato: w10 2/1 15
maskani ilifananisha nini?: w10 5/1 7
miaka muhimu katika uchapishaji wa Biblia: g 12/11 2-3
miezi inayotajwa katika Biblia: w07 6/15 9; bi12 1961
muda ambao wazee wa ukoo waliishi: w05 10/1 8-10
Musa:
maoni ya kweli na ya uwongo kumhusu: g04 4/8 12
Yesu alikuwa kama Musa: w09 4/15 26
Yesu alikuwa nabii kama Musa: g04 4/8 13
orodha ya matukio manne ya kiunabii kumhusu Mesia: g 7/12 22-23
orodha ya tafsiri 99 za lugha za kienyeji zinazotumia jina la Mungu katika Agano Jipya: w08 8/1 21
pesa: bi12 1960
pindi ambapo Biblia ilishambuliwa: g 12/11 6-7
ratiba ya usomaji wa Biblia: w09 8/1 15-18
sherehe zilizoagizwa katika Sheria ya Musa: w07 1/1 22-23
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya:
inapatikana katika lugha 106: yb12 26
tarehe muhimu zinazohusu kutafsiri na kunakili Biblia: w97 8/15 8-9; w97 9/15 26-27
tofauti kati ya hekima ya ulimwengu na hekima ya Mungu: w04 4/1 11
Ufunuo (kitabu):
jinsi Yesu alivyotoa mashauri: re 34
maji ya dini zinazodai kuwa za Kikristo (Jumuiya ya Wakristo) yafunuliwa kuwa pakanga: re 139
mambo makuu ya mbiu za hukumu za Yehova zilizo kama tarumbeta: re 173
mambo yanayosaidia kufafanua maana ya namba 666: w04 4/1 5
namba za mfano: re 19
washiriki wa umati mkubwa: re 124
yaliyomo (muundo): re 98-99
unabii mbalimbali:
ishara ya siku za mwisho: w06 9/15 7; g 1/06 8-9; w05 10/1 6
kutimizwa: g 11/12 15
“majuma 70” (Da 9:24-27): w06 2/15 6-7; bh 198
Mesia: g 7/12 22-23
“nyakati saba” (Da 4): w12 8/1 16-17; w06 7/15 6; bh 216; rs 399
sehemu za ishara ya siku za mwisho zilizotimia katika karne ya kwanza: w07 4/1 9
serikali kuu za ulimwengu katika unabii wa Danieli: dp 139
unabii unaoiunganisha Biblia (unaofanya Biblia ieleweke) (Mwa 3:15): w11 1/1 10
vipindi vya kinabii katika kitabu cha Danieli: dp 301
wafalme wa kaskazini na wa kusini (Da 11): dp 228, 246, 268, 284
wafalme wa nane wafunuliwa: w12 6/15 12-13
utumishi wa Yeremia: jr 19
vipimo mbalimbali: bi12 1960
vitabu vya Biblia:
vitabu, waandikaji, muda unaohusika, na mahali na wakati vilipoandikwa: bi12 1840-1841
vitabu vya Biblia vilivyoandikwa wakati wa Milki ya Umedi na Uajemi: gl 25
vitabu vya Biblia vilivyoandikwa wakati wa utawala wa Ashuru na Babiloni: gl 23
Yesu Kristo:
alikuwa kama Musa: w09 4/15 26
alivyotoa mashauri (Ufunuo): re 34
juma la mwisho duniani: w11 2/1 22-24; w98 3/15 4
mafundisho ya kukusaidia: w01 12/15 12-14
unabii uliotimia: g 7/12 22-23; jd 55; bh 200; ip-2 212
Dini
dini zinazodai kuwa za Kikristo:
zimemsaliti Mungu na Biblia: gu 5
hekaya kuhusu Gharika: w02 3/1 4
mambo yanayoitambulisha dini ya kweli: g 3/08 9
Mashahidi wa Yehova
dini ya ulimwenguni pote: ed 15
endelea kusema, “Njoo!”: w10 2/15 16
jina katika lugha mbalimbali: jv 151, 153-154
kuufikia moyo wa mwanafunzi: w98 5/15 23
madarasa mbalimbali ya Shule ya Gileadi: jv 533
madokezo kadhaa ya kuimba vizuri zaidi: w97 2/1 27
madokezo ya kufanya ziara za uchungaji: w96 3/15 26
mafundisho: g 1/11 9; jt 13; w98 10/1 6; jv 144-145; w96 9/15 5
malengo (miradi) tunayoweza kujiwekea: w97 3/15 11
mapainia:
ongezeko (1976-1992): jv 112
ongezeko (1982-1992): jv 303
Mashahidi ni tofauti jinsi gani?: g 1/11 9
michango: w12 11/15 9; w11 11/15 22-23; w10 11/15 20-21
miradi (malengo) ya kufikiria: w04 7/15 22
msimamo kuhusu damu: lv 216; w04 6/15 22
nchi mbalimbali:
Afrika Kusini, mfuatano wa matukio: yb07 124-125
Albania, mfuatano wa matukio: yb10 176-177
Belize, mfuatano wa matukio: yb10 244-245
Brazili, ongezeko: jv 369
Estonia, mfuatano wa matukio: yb11 244-245
Estonia, ongezeko: yb11 246
India, ongezeko: jv 513
Japani, mapainia: jv 394
Japani, ongezeko: jv 513
Kongo (Brazzaville), mfuatano wa matukio: yb04 148-149
Kongo (Kinshasa), mfuatano wa matukio: yb04 176-177
Korea (Kusini), Jamhuri ya, ongezeko: jv 513
Latvia, mfuatano wa matukio: yb07 216-217
Mexico, mafunzo ya Biblia: jv 363
mfuatano wa matukio Norway: yb12 162-163
Mfuatano wa matukio Rwanda: yb12 254-255
Moldova, mfuatano wa matukio: yb04 80-81
ongezeko Norway: yb12 159
ongezeko Rwanda: yb12 234
Papua New Guinea, mfuatano wa matukio: yb11 156-157
Papua New Guinea, ongezeko: yb11 118
Réunion, mfuatano wa matukio: yb07 252-253
Rumania, mfuatano wa matukio: yb06 80-81
Uganda, mfuatano wa matukio: yb10 108-109
Urusi, mfuatano wa matukio: yb08 228-230
Urusi, ongezeko: yb08 228-230
visiwa vya Samoa, mfuatano wa matukio: yb09 132-133
visiwa vya Samoa, ongezeko: yb09 132-133
Yugoslavia, mfuatano wa matukio: yb09 244-245
Yugoslavia, ongezeko: yb09 244-245
Zambia, mfuatano wa matukio: yb06 176-177
ongezeko (1976-1992): jv 115
ongezeko (katika karne ya 20): w01 4/1 16
ongezeko la idadi ya lugha: w09 11/1 25; yb04 11
ongezeko la idadi ya lugha za Mnara wa Mlinzi: jv 110
ongezeko la idadi ya makutaniko (1976-1992): jv 114
ongezeko la idadi ya Wanabetheli duniani kote (1976-1992): jv 113
ongezeko la mafunzo ya Biblia (1950-1992): jv 574
ongezeko tangu Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilipopatikana: jv 613
panga utakavyojibu (kutoa ushahidi shuleni): yp1 127; g 7/09 25
ratiba ya familia: km 5/05 3, 6
ratiba za mapainia wasaidizi: km 2/04 5
ripoti ya kutolewa kwa ushahidi duniani kote: jv 717
ripoti ya Ukumbusho:
idadi ya Mashahidi na watu waliohudhuria (1935-1992): jv 242
idadi ya watu waliohudhuria (1935-2002): w03 2/15 18
idadi ya watu waliokula mkate na kunywa divai na waliohudhuria (1935-1960): jv 171
ripoti za utumishi (za kila mwaka): yb12 44-51; yb11 40-47; yb10 32-39; yb09 32-39; yb08 32-39; km 2/08 3-6; w07 2/1 27-30; yb07 32-39; w06 2/1 27-30; yb06 32-39; w05 2/1 19-22; yb05 32-39; w04 1/1 18-21; yb04 32-39; w03 1/1 12-15; w02 1/1 19-22; w01 1/1 22; w00 1/1 17-20; w99 1/1 12-15; w98 1/1 18-21; w97 1/1 18-21; w96 1/1 12-15
ripoti za utumishi za vipindi vya miaka kumi: re 64-65
sababu nyingine za kuwa wenye shangwe: w01 5/1 17
tarehe:
matukio ya maana katika historia ya kisasa ya Mashahidi wa Yehova: jv 718-723
ukurasa wa mazoezi (miradi): yp2 314
unafikiria kubatizwa?: yp2 308-309
upanuzi wa uchapaji nchini Marekani: w05 12/1 11
uzalishaji wa vitabu:
1998-2008: w09 5/1 25
watu wengi leo wanatumika pamoja na Israeli wa Mungu: w10 3/15 25
ziara za kurudia: w03 11/15 16; km 3/97 3
Tarehe za Matukio (Kronolojia)
bamba la udongo la VAT 4956 linaonyesha mwaka gani?: w11 11/1 25
karne ya 20: g99 12/8 2, 4, 6, 8-9
kuanzia Gharika mpaka amri ya Koreshi: w03 5/15 6-7
kuumbwa kwa Adamu mpaka—
Daudi: w05 10/1 8-11
maandishi yanayoonyesha mfuatano wa matukio katika Milki ya Babiloni: w11 11/1 23
majuma 70 ya miaka: w06 2/15 6-7; bh 198; dp 188-189, 301
Manabii Wadogo: jd 20-21
mfuatano wa matukio kuanzia Mwanzo mpaka Danieli: w11 6/1 20-23
mfuatano wa matukio yanayohusu vitabu vya Injili, maandishi ya Apokrifa, na hati mbalimbali: w10 3/1 8-9
miaka ya matukio muhimu katika ukuzi wa Ukristo katika karne ya kwanza W.K.: bt 12
muda ambao wazee wa ukoo waliishi: w05 10/1 8-10
orodha ya matukio yanayohusu Babiloni: g 6/12 12-13
orodha ya matukio yanayohusu uzao wa Abrahamu na kutoka kwa Waisraeli Misri: g 5/12 16-17
tarehe za matukio katika baadhi ya tamaduni za Amerika na Ulimwengu zalinganishwa: g99 5/8 17
tarehe za matukio za Wamaya: g01 9/8 16-17
Umedi na Uajemi Dhidi ya Ugiriki—Karne Mbili za Mapigano: g99 8/8 26
wafalme wa Yuda na Israeli: w05 8/1 12
wakati wa kuandikwa kwa Maandiko ya Kikristo na vitabu vya Apokrifa: w10 4/1 26
Yesu Kristo:
juma la mwisho duniani: w11 2/1 22-24; w98 3/15 4
kifo na ufufuo: w99 3/15 7