MISRI (ya Kale)
(Ona pia Farao; Misri [Kutoka kwa Waisraeli]; Piramidi [Makaburi])
Abrahamu ahamia Misri: w01 8/15 20-21
Aleksandria: g05 1/8 14; g05 6/8 28; g01 12/8 29; g97 5/22 28
maktaba: g05 1/8 12-14; g05 5/22 19
biashara:
farasi na magari ya kukokotwa na farasi: g 11/10 16
bustani: g97 4/8 4-5
desturi za mazishi:
kuhifadhi maiti kwa kuipaka dawa: w02 3/15 29-31
dini:
imani kuhusu wafu: g05 12/8 22-24; ie 6
majaliwa: g99 8/8 6
makuhani wenye kufanya uchawi: w96 1/15 24
msalaba (crux ansata): w11 3/1 19; rs 213
Mzingile: g99 12/22 20-21
historia:
maandishi ya Wamisri hayataji kutoka kwa Waisraeli: g04 4/8 8-9
inafananisha kichwa cha kwanza cha mnyama-mwitu (Ufu 13:1): w12 6/15 9
jiwe kubwa lenye umbo la mnara (obelisk): g 4/07 14-15
kilimo:
maghala ya nafaka: g 3/09 29
maiti zilizohifadhiwa:
Bonde la Maiti Zilizotiwa Mumiani (Zilizohifadhiwa): g00 2/8 28
kidole bandia cha mguu: g00 1/22 29
majiji:
Aleksandria: w05 6/15 10
majiji makuu:
Memfisi (Nofu): g 11/10 17; w03 7/1 32
No (No-Amoni, Thebesi): g 11/10 17; w03 7/1 32
majina ya miungu:
Isisi: g99 8/8 6
Osiris: g99 12/22 21
Seti: w02 10/15 4
mapigo: w04 3/15 26; my 31-32
pigo la kumi, mzaliwa wa kwanza afa: w04 3/15 25-26
matofali: w12 1/1 22; g 11/10 15-16
mavazi: g03 9/8 3-4
migodi ya dhahabu: g99 12/8 29
Misri ilikuwa mahame kwa miaka 40 (Eze 29:1-16): w07 8/1 8
‘Misri ilitiwa katika mkono wa bwana mgumu’ (Isa 19:4): ip-1 201-202
Misri inafananisha ulimwengu wa Shetani: ip-1 201-206
Mmisri mmoja-mmoja anafananisha “umati mkubwa” (Isa 19:21-25): ip-1 205-207
Misri inafananishwa na Rahabu (mnyama mkubwa wa baharini): ip-2 172-173; ip-1 303
Misri ya mfano:
‘haikuponyoka’ mfalme wa kaskazini (Da 11:42, 43): dp 278, 280
‘jiji kubwa linaloitwa Sodoma na Misri’ (Ufu 11:8): re 167-170
miungu mbalimbali:
miungu mitatu katika mungu mmoja: re 249
miungu yafedheheshwa na Yehova: jv 15-16
mnara wa taa wa Pharos: g99 1/22 20-21; g98 2/22 11
“mto wa Misri” (1Nya 13:5): w05 10/1 10
Musa:
‘alifundishwa hekima ya Wamisri’ (Mdo 7:22): w12 6/15 21; w07 3/15 19; w02 6/15 10
Nebukadneza ateka Misri:
tukio lililotabiriwa: jr 161
pigano la Karkemishi: jr 24
piramidi:
Dahshûr: g97 7/8 29
Snefru (baba ya Khufu [Cheops]): g97 7/8 29
raha (starehe):
michezo: w06 3/1 30
siku za Yosefu (mwana wa Yakobo):
maelezo ya Biblia ni sahihi: g 11/10 15
mambo ambayo Yosefu alijionea: bm 8
njaa: g05 7/22 8
sura za Wamisri:
nywele: g 11/10 16
tiba: w98 4/1 16; ba 20
uhusiano kati ya Israeli na Misri:
Waisraeli washutumiwa kwa sababu ya kuitegemea Misri: w07 11/15 14; ip-1 302-308, 317-320
vitu vya kale vilivyochimbuliwa: g00 5/8 29
barua kutoka mtoto mtundu: w97 6/15 22
gavana Mroma aamuru watu wahesabiwe (104 W.K.): w09 12/1 16
hekalu la Karnaki: g 11/10 16-17; w08 7/1 24
kaburi la Nefertari: g96 7/22 29
kaburi la Tutankhameni: g05 9/22 27; w01 4/15 3
kutengeneza divai (Karnaki [Thebes]): w12 8/1 26
maandishi ambayo yanamtaja Abrahamu: g 11/10 17
mabamba ya Amarna: w08 12/15 21-22
Mafunjo ya Ebers: w98 4/1 16; ba 20
Mzingile: g99 12/22 20-21
waandishi: w07 3/15 18-19
Waisraeli katika karne ya kwanza: bt 25
Waisraeli uhamishoni nchini Misri (607 K.W.K.): w03 5/1 10
Yeremia apelekwa uhamishoni na aendelea kutoa unabii: jr 30
Waisraeli walipokaa Misri: bm 8, 10; my 27
kipindi walichokaa nchini Misri: g05 3/22 30
maandishi ya Misri hayataji: g04 4/8 8-9
sahihi kihistoria: g 5/12 16-17
utengenezaji wa matofali: w12 1/1 22; g 11/10 15-16; w02 6/15 8-9
utumwa: w02 6/15 8-9
Yakobo ahamia Misri: my 25
Wamisri walivyotengeneza barafu: g98 2/8 31
Wamisri waliwachukia wachungaji wa kondoo: w04 1/15 29
watawala:
Merneptah: g 5/12 18; g 11/10 18; w06 7/15 24
Ramesesi (Ramses) wa Pili: g96 7/22 29
Shishaki (Sheshonki wa Kwanza): g 11/10 16-17; w08 7/1 24