TARUMBETA
(Ona pia Pembe)
Israeli (la kale): g 3/11 15-16
jiwe lenye maandishi “Mahali pa Kupiga Tarumbeta”: g 3/11 16
‘sauti kama ya tarumbeta’ (Ufu 1:10): re 24
‘sauti kama ya tarumbeta’ (Ufu 4:1): re 74
tarumbeta saba (Ufu 8-14): w09 1/15 32; re 132-177, 220, 228
kupigwa kwaanza: w09 1/15 32; re 149, 152
mambo makuu: re 173
matayarisho ya kuzipiga: w09 1/15 32; re 132
uhusiano kati ya tarumbeta saba na makusanyiko na maazimio, 1922-1928: re 133-135, 152, 173
zinalinganishwa na mabakuli saba ili kuonyesha tofauti (Ufu 15, 16): re 220, 228
ya kwanza (Ufu 8:7): re 133-134
ya pili (Ufu 8:8, 9): re 134-136
ya tatu (Ufu 8:10, 11): re 136-139
ya nne (Ufu 8:12): re 138, 140-141
ya tano (Ufu 9:1-11): re 143-148, 228
ya sita (Ufu 9:13–11:14): re 148-171
ya saba (Ufu 10:7; 11:15–14:20): re 157-158, 171-177
tarumbeta za makombe (Peru): g04 4/22 29
“usipige tarumbeta” (Mt 6:2): w09 2/15 14