MASHAHIDI WAWILI
roho ya uhai yaingia ndani yao (Ufu 11:11): re 169-170
“wamevikwa nguo za magunia” (Ufu 11:3): re 164
wanavyofanana na—
Musa na Eliya: re 165-167
Zerubabeli na Kuhani Mkuu Yoshua: re 164
watambulishwa: re 164
watoa unabii kwa siku 1,260 (Ufu 11:3): re 164
wauawa (Ufu 11:7-10): re 167-169
wafu kwa siku tatu na nusu (Ufu 11:9, 11): re 167-170
“wawili” (Ufu 11:3): re 164-166