Biblia Rahisi Kusomwa Katika Chapa Kubwa
Ulio juu ni kielelezo kinachoonyesha ukubwa halisi wa herufi za kisehemu kimoja cha ile chapa ya maandishi makubwa ya New World Translation of the Holy Scriptures. Biblia nzima imo katika mabuku manne, kila moja likiwa na kurasa zaidi ya 1,200. Kila buku lina marejezo-milinganisho yenye thamani kubwa, na Buku la 4 lina konkodansi ya kurasa 77.
Buku la 1 linamaliza Mwanzo mpaka 2 Samweli Buku la 2, 1 Wafalme mpaka Wimbo Ulio Bora; Buku la 3, Isaya mpaka Malaki; na Buku la 4, Mathayo mpaka Ufunuo. Kila buku ni Kshs. 165 (Tshs. 600/-RWF 950). Wewe utapelekewa Biblia nzima ya mabuku manne, malipo ya posta yakiwa yamelipiwa, kwa Kshs. 660/- (Tshs. 2,400/-).
Tafadhali onyesha kwa kutia alama visanduku mbalimbali ni buku au mabuku yapi ya Biblia hii unayotaka, na upeleke kiasi cha pesa zilizoonyeshwa.
[ ] Mimi napeleka Kshs. 165/- (Tshs. 600/-; RWF 950) kwa Buku la 1.
[ ] Mimi napeleka Kshs. 165/- (Tshs. 600/-; RWF 950) kwa Buku la 2.
[ ] Mimi napeleka Kshs. 165/- (Tshs. 600/-; RWF 950) kwa Buku la 3.
[ ] Mimi napeleka Kshs. 165/- (Tshs. 600/-; RWF 950) kwa Buku la