Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 10/1 uku. 32
  • Sikiliza Biblia Ikisomwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sikiliza Biblia Ikisomwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Vichwa vidogo
  • Pokea kaseti za Biblia katika pakiti za utumizi mwepesi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 10/1 uku. 32

Sikiliza Biblia Ikisomwa

Pokea kaseti za Biblia katika pakiti za utumizi mwepesi

“Mimi nimekuja kuhazini kaseti hizo,” anaandika mwanamke mmoja kutoka Ujeremani. “Sababu ni nini?” yeye anauliza. “Ni kwamba mimi nilihusika katika mgongano mdogo wa gari nikaumia fuvu la kichwa. Kwa hiyo kwa siku 8 zilizopita nililala hospitali nikiwa na umivu la kichwa lililonizuia kusoma, kuketi wima, n.k.

“Mimi nilijilaza gizani usiku, wakati ambapo Ilikuwa vigumu sana kupata usingizi, na katika kichwa changu nikawa ni kama ninatazama sinema nilipokuwa nikisikiliza Mwanzo, Kutoka . . . Sasa mimi ninapata kufahamiana na mitume Petro na Yohana kupitia barua zao, ambazo sikuzote nimekuwa nikizipenda, lakini sasa nathamini kila kijambo kinachohusiana nazo wakati ninaporudia-rudia kuzifungulia ili nizisikie.

“Mimi nawatolea asante kutoka kwenye kina cha moyo wangu kwa maana saa zangu za maumivu na upweke hazikuwa zisizovumilika sana kwa sababu ya fikira na bidii-endelevu mnayotangulia kuwa nayo katika kutunza masilahi yetu ya kiroho.”

Wewe pia unaweza kunufaika kutokana na kaseti hizi zenye mirekodi ya Kiingereza ya Biblia ya New World Translation of the Holy Scriptures. Ile pakiti ya sehemu nzima ya Maandiko ya Kigiriki kutoka Mathayo mpaka Ufunuo (kaseti 18), ni Kshs. 480/- (Tshs. 1800/-). Pakiti mbili za Maandiko ya Kiebrania zinapatikana pia. Ya kwanza ina Mwanzo mpaka Ruthu katika kaseti 18 na ni Kshs. 480/- (Tshs. 1800/-); pakiti ya pili ina kaseti 21 zenye 1 Samweli kuendelea mpaka Zaburi na ni Kshs. 535/- (Tshs. 1995/-)

Tafadhali onyesha ni pakiti gani za kaseti unazotaka kwa kutia alama katika visanduku hivi mbalimbali, na ulipe kiasi cha pesa kilichoonyeshwa.

◻ Mimi nawapelekea Kshs. 480/- (Tshs. 1800/-) kwa ajili ya pakiti ya Maandiko ya Kigiriki.

◻ Mimi nawapelekea Kshs. 480/- (Tshs. 1800/-) kwa ajili ya pakiti ya Mwanzo kuendelea mpaka Ruthu.

◻ Mimi nawapelekea Kshs. 535/- (Tshs. 1995/-) kwa ajili ya pakiti va 1 Samweli kuendelea mpaka Zaburi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki