Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w92 12/15 uku. 31
  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1992

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1992
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
  • Vichwa vidogo
  • BIBLIA
  • MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO
  • MAKALA KUU ZA MAFUNZO
  • MAMBO MENGINE
  • MANDHARI KUTOKA BARA LILILOAHIDIWA
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU
  • MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
  • WAPIGA MBIU YA UFALME WARIPOTI
  • YEHOVA
  • YESU KRISTO
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
w92 12/15 uku. 31

Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1992

Ikionyesha tarehe ya toleo ambamo makala inaonekana

BIBLIA

Hati-Mkono ya Kiebrania Iliyo Kiolezo, 10/15

Hazina kutoka kwa Marundo ya Takataka ya Misri (Hati-Mkono za Oksirinkus), 2/15

Hujipinga Yenyewe? 7/15

Kutolewa kwa Hati-Kunjo za Baharifu za Mwisho, 1/1

Tafsiri za Afrika, 9/1

Thamani ya Mafunjo ya Nash, 12/15

Vita vya kuendelea Kuwapo kwa Biblia ya Kihispania, 6/15

Zawadi Kutoka kwa Mungu, 5/15

MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO

Faraja Katika Nyakati za Taabu, 7/15

Fuateni Njia ya Upendo Ipitayo Zote, 7/15

‘Je! Nibatizwe?’ 10/1

Je! Wewe Umehesabu Gharama? 8/15

Jifunze Utii kwa Kukubali Nidhamu, 10/1

‘Kuhimiza kwa Msingi wa Upendo,’ 4/15

Kwa Nini Ni Rahisi Sana Kusema Uwongo? 12/15

Mwenye Shughuli Katika Kazi Zisizo Hai au Katika Utumishi wa Yehova? 7/1

“Nirudieni Mimi, Nami Nitawarudia Ninyi,” 8/1

Uwe na Roho ya Kujidhabihu! 2/1

‘Vaeni Suti Kamili ya Silaha,’ 5/15

Wazee—Kabidhini Wengine Kazi! 10/15

Wazee—Warekebisheni Wengine Katika Roho ya Upole, 11/15

Wewe Waweza Kukabiliana na Fadhaiko! 9/15

MAKALA KUU ZA MAFUNZO

‘Acha Kuendelea Kwako Kuwe Dhahiri,’ 8/1

Baraka ya Yehova Hutajirisha, 12/1

Elimu Katika Nyakati za Biblia, 11/1

Elimu Yenye Kusudi, 11/1

Endelea Kukesha Katika “Wakati wa Mwisho,” 5/1

Endeleeni Kujengana, 8/15

Fanya Bidii Ili Kuihifadhi Familia Yako Iingie Ndani ya Ulimwengu Mpya wa Mungu, 10/15

Furaha ya Kweli Katika Kumtumikia Yehova, 5/15

Furaha ya Milele Yawangoja Watoaji wa Kimungu, 1/15

Hofuni Yehova na Kulitukuza Jina Lake Takatifu, 1/1

Je! Ndoa Ndiyo Ufunguo wa Pekee wa Kupata Furaha? 5/15

Je! “Utaratibu wa Ulimwengu Mpya” wa Wanadamu U Karibu? 4/15

Je! Utauitikia Upendo wa Yesu? 2/15

Juma Lililobadili Ulimwengu, 3/1

Juya (Wavu) na Samaki Zinamaanisha Nini Kwako? 6/15

Karibisha Akilini Siku ya Yehova, 5/1

Katalia Mbali Fantasia za Kilimwengu, Fuatia Mambo Halisi ya Ufalme, 7/15

Kigezo Chenye Kupuliziwa Roho cha Kazi ya Mishonari ya Kikristo, 9/1

Kristo Aliuchukia Ukosefu wa Kufuata Sheria—Je! Wewe Wauchukia? 7/15

Kukaribisha kwa Shangwe Ulimwengu Mpya wa Mungu Wenye Uhuru, 4/1

Kumpenda Yehova Huchochea Ibada ya Kweli, 1/1

Kutembea kwa Moyo Ulioungamanishwa, 12/15

Kutumia kwa Yehova “Upumbavu” Ili Kuwaokoa Wanaoamini, 9/15

Kutumika Tukiwa Wavuvi wa Watu, 6/15

Kuvua Watu Katika Maji ya Tufe Lote, 6/15

Kuwapo kwa Mesiya na Utawala Wake, 10/1

‘Kwa Jina la Roho Takatifu,’ 2/1

‘Leteni Sehemu ya Kumi Yote Ghalani,’ 12/1

Mpango wa Yehova wa Familia Wenye Upendo, 10/15

Mtumikie Yehova kwa Uaminifu-Mshikamanifu, 11/15

Mwenyeji au Mgeni, Mungu Akukaribisha! 4/15

Nani Atakayeponyoka Ule “Wakati wa Taabu”? 5/1

Ni Lazima Wakristo wa Kweli Wote Wawe Waeneza Evanjeli, 9/1

“Ni Nani Aliye Kama Yehova Mungu Wetu?” 11/15

Roho Takatifu, Zawadi Kutoka kwa Yehova, 2/1

Roho ya Yehova Huwaongoza Watu Wake, 9/15

Siku ya Kukumbuka, 3/1

Simama Imara kwa Ajili ya Uhuru wa Kupewa na Mungu! 3/15

“Tumempata Mesiya”! 10/1

Tumia kwa Hekima Uhuru Wako wa Kikristo, 6/1

Uandalizi wa Yehova, Wale ‘Waliopewa,’ 4/15

Uhuru wa Kupewa na Mungu Waleta Shangwe, 3/15

Uhuru wa Kweli—Kutoka Chanzo Gani? 4/1

Usikose Kusudi la Uhuru wa Kupewa na Mungu, 3/15

Vitumbuizo vya Kijamii—Furahia Manufaa, Epuka Mitego, 8/15

Watu Huru Lakini Wanaotakwa Watoe Hesabu, 6/1

Wazee, Hukumuni kwa Uadilifu, 7/1

Wewe Unapigaje Mbio Katika Lile Shindano la Mbio la Kupata Uhai? 8/1

Yehova, “Hakimu wa Dunia Yote” Asiye na Upendeleo, 7/1

Yehova Husamehe Kwa Njia Kubwa, 9/15

Yehova Huwapenda Watoaji Wachangamfu, 1/15

Yehova, Mfanyi wa Mambo ya Ajabu, 12/15

Yehova Si wa Kulaumiwa, 11/15

Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi, 2/15

MAMBO MENGINE

Aina ya Usalama Unaotamani, 3/1

Dayoklito Ashambulia Ukristo, 6/15

Fidia ya Kubadilishana na Wengi, 6/15

Furiko Katika Hekaya za Ulimwengu, 1/15

Furiko Lisilosahaulika, 1/15

Gospeli Kwa Kweli Ni Nini? 12/15

Gospeli Yaweza Kukunufaishaje? 12/15

Hatua ya Kurudi, 8/15

Jinsi Imani Iwezavyo Kusaidia Wagonjwa, 6/1

Jumuiya ya Wakristo na Ile Biashara ya Kununua na Kuuza Watumwa, 9/1

Justin—Mwanafalsafa, Mteteaji, na Shahidi Mfia-Imani, 3/15

Kile Ufalme wa Mungu Unachomaanisha, 3/15

Kizazi cha 1914—Kwa Nini Ni cha Maana? 5/1

‘Kuendelea Kutwaa Ndani Maarifa Kuhusu Mungu na Yesu,’ 3/1

Kuithamini Zawadi ya Uhai, 8/1

Kusema Katika Ndimi, 8/15

Kuzaliwa Mara ya Pili, 11/15

Kuzipa Sanamu Heshima—Kibishanio, 2/15

Kwa Nini Watu Wazuri Huteseka? 9/15

Kweli Ainabinadamu Inahitaji Mesiya? 10/1

Mababa wa Kimitume Walifundisha Utatu? 2/1

Manabii Wawongo, 2/1

Mavuno ya Jumuiya ya Wakristo Katika Afrika, 9/1

Mesiya—Tumaini la Kweli? 10/1

Mipango Kwa Ajili ya Usalama wa Kimataifa, 3/1

Msalaba—Kifananisho cha Ukristo? 11/15

Mungu Husikiliza Usalipo? 4/15

1914—Mwaka Ulioshtua Ulimwengu, 5/1

Mwanamume Mwenye Elimu (Paulo), 11/1

Ni Nani Aliye na Upendeleo wa Mungu, 12/1

Njiwa Warukao Kwenda Kwenye Nyumba Zao, 7/15

Paulo kwa Kulinganishwa na Plato Juu ya Ufufuo, 5/15

Sanamu Zaweza Kukuleta Karibu Zaidi na Mungu? 2/15

Si Wachuuzi wa Neno la Mungu, 12/1

Taabu ya Familia—Ishara ya Nyakati, 10/15

Tumaini Linaloshinda Kutamauka, 7/1

Ubatizo “Ndani ya Jina la,” 10/15

Uhai—Zawadi Itokayo kwa Mungu, 8/1

Ulimwengu Usio na Dhambi—Jinsi Gani? 11/1

Umwabudu Mungu Yupi? 1/1

Una Imani Kama Ile ya Eliya? 4/1

Uponyaji wa Imani Hukubaliwa na Mungu? 6/1

Utatu—Ulisitawi Wakati Gani na Jinsi Gani? 8/1

Wateteaji-Ukristo Walifundisha Utatu? 4/1

Wewe Huonaje Dhambi? 11/1

MANDHARI KUTOKA BARA LILILOAHIDIWA

Aliandalia Israeli Katika Sinai, 5/1

Genesareti—‘Nzuri Ajabu na Yenye Kupendeza,’ 1/1

Gerasa—Mahali Ambapo Wayahudi na Wagiriki Walikutana, 7/1

Kwenda Shilo—Watoto Wema na Wabaya, 11/1

Kula Mlo—Kula Mkate, 9/1

Zuru Bara, Zuru Kondoo! 3/1

MASHAHIDI WA YEHOVA

Hospitali ya Kihistoria, Jumba la Ufalme la Aina Yalo (Australia), 8/15

Kitabu Kipya Chawasisimua Mamilioni (Mtu Mkuu Zaidi), 2/15

Kufikia “Namna Zote za Watu” Katika Ubelgiji, 12/15

Kuhubiri Katika Maputo (Msumbiji), 8/15

Kuhubiri Katika Mojawapo Bandari Kubwa Zaidi za Ulimwengu (Uholanzi), 4/15

Kukusanya “Vitu Vinavyothamaniwa” Katika Polandi, 7/15

Kukusanyika Pamoja na Wapendao Uhuru wa Kupewa na Mungu, 1/15

Kung’aa Kama Vimulikaji (Jamhuri ya Afrika ya Kati), 10/1

Kupata Furaha ya Kweli Katika “Paradiso” (Hawaii), 9/15

Kutoa Uelewevu katika Namibia, 11/15

Kuwavuna Waabudu, 1/1

Kweli Yaenea Katika Kijiji Chenye Maji Mengi (Lebanoni), 10/15

Mahakama ya Juu Zaidi ya Naijeria Yaunga Mkono Uhuru wa Kidini, 12/15

“Maji ya Uhai” Yabubujika Katika Kepi Verde, 3/15

Mashahidi wa Yehova—Tengenezo Linalotegemeza Jina (Vidio), 10/1

Ona Lile Ambalo Yehova Ametufanyia! (Ethiopia), 11/1

Tangazo (Usaidizi kwa Baraza Linaloongoza), 4/15

Uaminifu wa Kimaadili wa Kikristo Katika Liberia Yenye Kukumbwa na Vita, 1/1

Uhitimu wa Gileadi, 6/1, 12/1

Utume wa Kupeleka Msaada Ukrainia, 3/15

Visiwa vya Bahari ya Hindi Vyaisikia Habari Njema, 2/15

Wahindi Wagoajiro Waitikia (Kolombia, Venezuela), 5/15

Walikuja Zijapokuwa Hali Zisizopendeza na Hatari, 7/1

Yehova Alitutunza Chini ya Marufuku—Sehemu 1, 4/15

Yehova Alitutunza Chini ya Marufuku—Sehemu 2, 5/1

Yehova Alitutunza Chini ya Marufuku—Sehemu 3, 5/15

MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU

Baada ya Buchenwald Nilipata Kweli (R. Séglat), 6/1

“Fadhili-Upendo Zake Zimethibitika Kuwa Kuu” (J. Vergara Orozco), 2/1

Kuufuatia Mradi Uliowekwa Tangu Umri wa Miaka Sita (S. Cowan), 3/1

Mimi Niliitikia Wakati wa Mavuno (W. Remmie), 7/1

Mtu Aitapo, Je! Wewe Huitikia? (S. Tohara), 11/1

Nilijinyenyekeza Nikapata Furaha (V. Brandolini), 8/1

Njia ya Yehova Ndiyo Njia Bora Zaidi ya Kuishi (E. Kankaanpää), 4/1

Shangwe Ambayo Kumtumikia Yehova Kumeniletea (G. Brumley), 12/1

Yehova Amenitunza Vema (S. Wharerau), 9/1

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

Ayubu pekee ndiye aliyekuwa mwaminifu? (Ayu 1:8), 8/1

Farao alimwoa Sara? 2/1

Farasi wenye pembe moja, 6/1

Kununua vitu vilivyoibwa, 6/15

Kwa nini Noa alimtoa kunguru kisha njiwa? 1/15

Miadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa, 9/1

Mitume washuku baada ya Yesu aliyefufuka kutokea? (Mt 28:17), 12/1

Musa, “Kristo”? (Ebr 11:26), 11/15

‘Mwendo wa mtu pamoja na msichana’ wa “ajabu”? (Mit 30:19), 7/1

Ni lazima aliyefanya agano afe? (Ebr 9:16), 3/1

Sehemu za damu katika chakula, 10/15

Yesu alijua kwamba Yohana Mbatizaji angekufa kwanza? (Mt 11:11), 2/15

Zekaria kiziwi na bubu? (Lk 1:62), 4/1

WAPIGA MBIU YA UFALME WARIPOTI

1/1, 2/1, 3/1, 4/1, 5/1, 6/1, 7/1, 8/1, 9/1, 12/1

YEHOVA

Mtu Umjuaye tu au Rafiki? 6/1

“Nirudieni Mimi, Nami Nitawarudia Ninyi,” 8/1

YESU KRISTO

“Uungu wa Kristo,” 1/15

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki