Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Januari uku. 2
  • Januari 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Januari uku. 2

JANUARI 1-7

AYUBU 32-33

Wimbo 102 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Elihu akimsikiliza Ayubu kwa hisia-mwenzi, mwili wake ukiwa umejaa majipu.

Elihu anamsikiliza Ayubu kwa hisia-mwenzi anapojieleza

1. Faraja kwa Wanaokabiliana na Mahangaiko

(Dak. 10)

Watendee wengine kama marafiki (Ayu 33:1; it-1 710)

Uwe na hisia-mwenzi, si mwenye kuhukumu (Ayu 33:​6, 7; w14 6/15 25 ¶8-10)

Kabla ya kusema, sikiliza na ufikiri kama Elihu alivyofanya (Ayu 33:​8-12, 17; w20.03 23 ¶17-18; ona picha kwenye jalada)

Dada akimsikiliza kwa hisia-mwenzi mama asiye na mwenzi ambaye anakabili hali ngumu. Watoto wawili wa mama huyo wanacheza katika chumba kingine.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Ayu 33:25—Mstari huu unatusaidiaje kuwa na maoni yenye usawaziko kuhusu mwonekano wetu kadiri tunavyozeeka? (w13 1/15 19 ¶10)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Ayu 32:​1-22 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kupendezwa na Watu—Yesu Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 1 jambo kuu la 1-2.

5. Kupendezwa na Watu—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 1 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 116

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 4 sanduku uk. 30

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 54 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki