-
Mathayo 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ndipo mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Mfungeni mikono na miguu, kisha mmtupe nje gizani. Huko ndiko atalia na kusaga meno yake.’
-