23 Yesu akamshika mkono yule kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Kisha akamtemea mate machoni,+ akaweka mikono juu yake na kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”
23 Naye akamshika mkono yule mtu aliyekuwa kipofu, akamtoa nje ya kijiji, na, baada ya kutema mate+ juu ya macho yake, Yesu akaweka mikono juu yake na kuanza kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”