-
Yohana 1:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Kwa hiyo wakamwambia: “Wewe ni nani? Tuambie ili tupate jibu la kuwapa wale waliotutuma. Unasema nini juu yako mwenyewe?”
-