-
Yohana 1:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Kwa hiyo wakamwambia: “Wewe ni nani? Tuambie ili tupate jibu la kuwapa wale waliotutuma. Unasema nini juu yako mwenyewe?”
-
-
Yohana 1:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Kwa hiyo wakamwambia: “Wewe ni nani? ili tupate kuwapa jibu wale waliotutuma sisi. Wewe wasema nini juu yako mwenyewe?”
-