31 Wayahudi waliokuwa pamoja na Maria nyumbani wakimfariji, walipomwona akisimama upesi na kuondoka, wakamfuata wakidhani kwamba alikuwa akienda kulia kwenye kaburi.*+
31 Kwa hiyo Wayahudi waliokuwa pamoja naye nyumbani+ na waliokuwa wakimfariji, walipomwona Maria akisimama upesi na kuondoka aende, wakamfuata, wakidhani kwamba alikuwa akienda kwenye kaburi+ ili kulilia huko.