-
Yohana 11:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Kwa hiyo Wayahudi waliokuwa pamoja naye katika nyumba na waliokuwa wakimfariji, walipomwona Maria akiinuka upesi na kuondoka aende, wakamfuata, wakidhani kwamba alikuwa akienda kwenye kaburi la ukumbusho ili kutolea machozi huko.
-