33 Watoto wadogo, nipo pamoja nanyi muda kidogo zaidi. Mtanitafuta; na kama nilivyowaambia Wayahudi, ninawaambia ninyi pia, ‘Ninakoenda hamwezi kuja.’+
33 Watoto wadogo,+ nipo pamoja nanyi muda kidogo zaidi. Ninyi mtanitafuta; na kama vile nilivyowaambia Wayahudi, ‘Ninakoenda ninyi hamwezi kuja,’+ ninawaambia ninyi pia sasa.