-
Yohana 13:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Watoto wadogo, mimi nipo pamoja nanyi muda kidogo zaidi. Nyinyi mtanitafuta; na kama vile nilivyowaambia Wayahudi, ‘Ninakoenda nyinyi hamwezi kuja,’ mimi nawaambia pia wakati wa sasa.
-