Yohana 18:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko. Yohana 18:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ndipo Simoni Petro, kwa kuwa alikuwa na upanga, akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu, akalikata sikio lake la kuume.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko. Yohana Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 18:10 w98 4/1 14-15; ba 16-17 Yohana Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 18:10 Yesu—Njia, uku. 284 Mnara wa Mlinzi,4/1/1998, kur. 14-1510/15/1990, uku. 8 Kitabu kwa Wote, kur. 16-17
10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.
10 Ndipo Simoni Petro, kwa kuwa alikuwa na upanga, akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu, akalikata sikio lake la kuume.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.
18:10 Yesu—Njia, uku. 284 Mnara wa Mlinzi,4/1/1998, kur. 14-1510/15/1990, uku. 8 Kitabu kwa Wote, kur. 16-17