-
Matendo 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Anania aliposikia maneno hayo, akaanguka chini akafa. Na wote waliosikia jambo hilo wakaogopa sana.