-
Matendo 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Anania aliposikia maneno hayo, akaanguka chini akafa. Na wote waliosikia jambo hilo wakaogopa sana.
-
-
Matendo 5:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Aliposikia maneno hayo Anania akaanguka chini akaisha. Na hofu kubwa ikaja juu ya wote wale wenye kusikia juu ya hilo.
-