-
Matendo 20:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Baada ya ghasia kutulia, Paulo akatuma watu wawaite wanafunzi, akawatia moyo na kuwaaga, kisha akaanza safari yake ya kwenda Makedonia.
-