-
Matendo 20:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Baada ya ghasia kutulia, Paulo akatuma watu wawaite wanafunzi, akawatia moyo na kuwaaga, kisha akaanza safari yake ya kwenda Makedonia.
-
-
Matendo 20:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Sasa baada ya hiyo ghasia kutulia, Paulo alituma watu waite wanafunzi, na alipokuwa amewatia moyo na kuwaaga, akaenda kufunga safari kuingia Makedonia.
-