8 Ikawa kwamba baba ya Publio alikuwa amelala kitandani akiugua homa na ugonjwa wa kuhara damu. Paulo akaingia alimokuwa na kusali, akaweka mikono juu yake, akamponya.+
8 Lakini ikawa kwamba baba ya Publio alikuwa amelala akitaabishwa na homa na ugonjwa wa kuhara damu, na Paulo akaingia alimokuwa na kusali, akaweka mikono+ yake juu yake akamponya.+