-
1 Wakorintho 11:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini ninapoyatoa maagizo haya, siwapongezi ninyi, kwa sababu mnakutana pamoja, si kwa ajili ya wema, bali kwa ajili ya ubaya.
-