-
1 Wakorintho 11:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini ninapoyatoa maagizo haya, siwapongezi ninyi, kwa sababu mnakutana pamoja, si kwa ajili ya wema, bali kwa ajili ya ubaya.
-
-
1 Wakorintho 11:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Lakini, ingawa ninatoa maagizo haya, siwasifu nyinyi kwa sababu mwakutana pamoja, si kwa ajili ya lililo jema zaidi, bali kwa ajili ya lililo baya zaidi.
-