-
2 Wakorintho 13:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ingawa sipo sasa, ni kana kwamba nipo kwa mara ya pili, nami ninatoa onyo mapema kwa wale waliotenda dhambi mwanzoni na kwa wengine wote, kwamba ikiwa nitakuja tena sitawahurumia,
-