-
2 Wakorintho 13:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ingawa sipo sasa, ni kana kwamba nipo kwa mara ya pili, nami ninatoa onyo mapema kwa wale waliotenda dhambi mwanzoni na kwa wengine wote, kwamba ikiwa nitakuja tena sitawahurumia,
-
-
2 Wakorintho 13:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Nimesema hapo awali na, kama kwamba nipo mara ya pili lakini sipo sasa, nawaambia kimbele wale ambao wametenda dhambi hapo awali na kwa wale wengine wote, kwamba wakati wowote nikija tena hakika sitahurumia,
-