-
Waamuzi 9:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Basi akachukua watu wake na kuwagawa katika vikosi vitatu na kuvizia shambani. Alipoona watu wakitoka jijini, akawashambulia na kuwaua.
-