Waamuzi 9:43 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 43 Kwa hiyo, akawachukua watu na kuwagawanya wawe vikosi vitatu,+ akaanza kuvizia shambani. Ndipo akaangalia, na tazama, watu walikuwa wakitoka nje ya jiji. Basi akaenda juu yao, akawapiga na kuwaua.
43 Kwa hiyo, akawachukua watu na kuwagawanya wawe vikosi vitatu,+ akaanza kuvizia shambani. Ndipo akaangalia, na tazama, watu walikuwa wakitoka nje ya jiji. Basi akaenda juu yao, akawapiga na kuwaua.