-
Waamuzi 12:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Alikuwa na watoto wa kiume 30 na wa kike 30. Akawaoza binti zake 30 nje ya ukoo wake, na akaleta wanawake 30 kutoka nje ya ukoo wake ili waolewe na watoto wake wa kiume. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka saba.
-