-
Waamuzi 12:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Naye akawa na wana 30 na binti 30. Akatuma watu nje kuleta binti 30 kwa ajili ya wanawe kutoka nje. Naye akaendelea kuhukumu Israeli kwa miaka saba.
-