-
Waamuzi 18:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi akasema, “Mmechukua miungu niliyojitengenezea na kuondoka na kuhani wangu pia. Mkaniacha bila chochote. Mnawezaje kuniuliza, ‘Una shida gani?’”
-