2 Samweli 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Akamwambia mfalme: “Bwana wangu usinione kuwa na hatia, nawe usikumbuke kosa ambalo mimi mtumishi wako nilifanya+ siku ambayo bwana wangu mfalme ulitoka Yerusalemu. Mfalme, usiweke jambo hilo moyoni mwako,
19 Akamwambia mfalme: “Bwana wangu usinione kuwa na hatia, nawe usikumbuke kosa ambalo mimi mtumishi wako nilifanya+ siku ambayo bwana wangu mfalme ulitoka Yerusalemu. Mfalme, usiweke jambo hilo moyoni mwako,