-
Ezekieli 42:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa maana mabaraza yalikuwa na urefu wa ghorofa tatu, lakini hayakuwa na nguzo kama nguzo za nyua. Ndiyo sababu nafasi kubwa zaidi ya vyumba vilivyokuwa juu ilichukuliwa na mabaraza kuliko katika ghorofa ya chini na ya katikati.
-