-
Zekaria 14:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na ikiwa taifa la Misri halitapanda kwenda Yerusalemu na kuingia humo, halitapata mvua. Badala yake, litashambuliwa na ugonjwa hatari ambao Yehova anauleta kwa mataifa ambayo hayapandi kwenda kusherehekea Sherehe ya Vibanda.
-