-
Zekaria 14:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na watu wa familia ya Misri wasipokuja wala kuingia, mvua pia haitakuwa juu yao. Kutatokea tauni ambayo Yehova hutumia kuyapiga yale mataifa yasiyopanda kuja kufanya sherehe ya vibanda.
-