-
Mathayo 2:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Basi Yosefu akaamka usiku, akamchukua Maria pamoja na yule mtoto wakaenda Misri.
-
-
Mathayo 2:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa hiyo yeye akainuka na kuchukua pamoja naye yule mtoto mchanga na mama yake wakati wa usiku na kuondoka kuingia Misri,
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yosefu anamchukua Maria na Yesu na kukimbilia Misri (gnj 1 55:53–57:34)
-