-
Mathayo 21:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 akawaambia: “Nendeni katika kijiji mtakachokiona, na mara moja mtamwona punda amefungwa, na mwanapunda akiwa pamoja naye. Wafungueni na kuniletea.
-
-
Mathayo 21:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 akiwaambia: “Shikeni njia mwende mwingie katika kijiji kilicho karibu yenu, nanyi mara moja mtakuta punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni na kuwaleta kwangu.
-