-
Mathayo 21:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 akiwaambia: “Shikeni njia mwende mwingie katika kijiji kilicho karibu yenu, nanyi mara moja mtakuta punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni na kuwaleta kwangu.
-