-
Marko 1:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Kwa hiyo akaponya wengi waliokuwa na magonjwa ya namna mbalimbali, naye akafukuza roho waovu wengi, lakini alikuwa hawaachi roho waovu waseme, kwa sababu walimjua yeye kuwa Kristo.
-