-
Marko 1:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Lakini baada ya kwenda zake mtu huyo akaanza kupiga mbiu sana juu ya hilo na kusambaza hayo masimulizi kotekote, hivi kwamba Yesu hakuweza tena kuingia waziwazi katika jiji, lakini akakaa nje katika mahali pa upweke. Na bado wakafuliza kumjia kutoka pande zote.
-