-
Marko 2:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Lakini kwa kutoweza kumleta moja kwa moja hadi alipo Yesu kwa sababu ya umati, wakaiondoa paa juu ya mahali alipokuwa, na wakiisha kuchimba kipenyo wakateremsha kitanda ambacho juu yacho yule mwenye kupooza alikuwa akilala.
-