-
Marko 6:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma watu na kumkamata Yohana akamfunga gerezani kwa sababu ya Herodiasi mke wa Filipo ndugu yake, kwa sababu Herode alikuwa amemwoa.
-