-
Marko 8:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Yesu alipojua hilo, akawaambia: “Kwa nini mnabishana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamjafahamu wala kuelewa? Je, bado mioyo yenu ni mizito isiweze kuelewa?
-
-
Marko 8:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Akijua hilo, akawaambia: “Kwa nini mwajadiliana kwa sababu hamna mikate? Je, hamjafahamu bado na kupata maana? Je, mnakuwa na mioyo yenu ikiwa mizito isiweze kuelewa?
-