-
Marko 8:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Yesu alipojua hilo, akawaambia: “Kwa nini mnabishana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamjafahamu wala kuelewa? Je, bado mioyo yenu ni mizito isiweze kuelewa?
-